Sifa Lyrics

Neno Asante by KABI CATHOLIC cover art

KABI CATHOLIC - Neno Asante Lyrics

Artist:
KABI CATHOLIC

Lyrics

[Music]
Ninakushukuru baba Mungu wangu
Wamemaunayo nionyesha baba
Nikuzeje nina waza jinsi gani
Nitalipa nini mimi kwa shukrani


Moyoni mwangu Moyoni mwangu
Moyoni mwangu Moyoni mwangu
Nisiposema neno asante
Nisipokiri wema wa Mungu
Ulimi wangu ukandamane
Na kaa kaa la kinywa changu mimi


Nisiposema neno asante
Nisipokiri wema wa Mungu
Ulimi wangu ukandamane
Na kaa kaa la kinywa changu mimi


Yote uliyotenda juu yangu
Nashindwa kusimulia baba yangu
Machozi yenye upendo na furaha
Nashangwaza yameni pambacha furaha yangu
Moyoni mwangu Moyoni mwangu
Moyoni mwangu Moyoni mwangu


Nisiposema neno asante
Nisipokiri wema wa Mungu
Ulimi wangu ukandamane
Na kaa kaa la kinywa changu mimi


Nisiposema neno asante
Nisipokiri wema wa Mungu
Ulimi wangu ukandamane
Na kaa kaa la kinywa changu mimi


Leo ninaimba nyimbo za furaha
Ninageuka kushoto na kulia
Nimeamsha vinanda na vinubi
Asubuhi na mapema ninaimba
Moyoni mwangu Moyoni mwangu
Moyoni mwangu Moyoni mwangu
Nisiposema neno asante
Nisipokiri wema wa Mungu
Ulimi wangu ukandamane
Na kaa kaa la kinywa changu mimi


Nisiposema neno asante
Nisipokiri wema wa Mungu
Ulimi wangu ukandamane
Na kaa kaa la kinywa changu mimi


Video