Lyrics
Chorus
Nina neno moja tu asante
Umefanya mengi sio machache
Sasa kwanini nisiseme asante
Nimekuona nimekuona
Verse 1
Nile neno moja tu asante
Umefanya mengi sio machache
Sasa kwanini nisiseme asante
Nimekuona nimekuona
Wala si mimi ni Bwana amefanya ooh
Wala si mimi ni Bwana amefanya ooh
Ni Bwana amefanya wala si mimi
Ni Bwana ametenda
Verse 2
Toka mwanzo nilijua Mungu utatenda
Sababu najua hushindwi
Na tena nilidhania Mungu utafanya
Sawa sawa na mawazo yangu
Toka mwanzo nilijua Mungu utatenda
Sababu najua hushindwi
Na tena nilidhania Mungu utafanya
Sawa sawa na mawazo yangu
Ila leo umenishangaza Bwana
Umefanya zaidi ya niliyo omba
Amani yanipa zaidi ya niliyo omba
Umenipa kicheko
Afya umenipa zaidi ya niliyo omba
Umenipa kicheko
Oooooooh