Sifa Lyrics

Msaada by Paul Clement cover art

Paul Clement - Msaada Lyrics

Artist:
Paul Clement

Lyrics

[Verse]
Tukitazama walimwengu
Hata Paul sasa wako wapi?
Tukiwatanguliza walimwengu
Tukitazama walimwengu
Hata Paul sasa wako wapi?
Tukiwatanguliza walimwengu


[Chorus]
Tegemeo letu ni Mungu
Hauwezi huyu
Kutuangusha
Wakati wengine
Wanategemea nguvu zao
Sisi za kwetu
Zinatoka kwa Mungu
Hatima ya maisha yetu
Iko mikononi mwake


[Verse]
Maana ametuchora
Kwenye viganja vyake
Wanadamu walinisahau
Wenye mipango yao hawakunihesabu
Sababu waliona sifa nani nao
Waliponitazama wakanilala
Kimoja najua, kuhusu Mungu
Anasahau dhambi zetu, ila siyomtu
Na vile nimeyafanana, nayo
Hawezi isahau, sura yake


[Chorus]
Kwa msaada wa Mungu
Tutayatenda makuu


[Verse]
Maana neema yake
Iko juu yetu
Hatuishi
Njiaani
Tena nguvu zake
Zimetufunika
Hatut
Uongo bado zote
Walipodhamiria
Atafanya tambarare
Atainyosha njia yetu
Waliponaugumu
Atafanya wepesi
Hatutatumia nguvu
Maana ata
Tupenyapamoja


[Chorus]
Aaaah Eeeeh
Kwa msaada wa Mungu
Tutayatenda makuu
Maana neema yake
Iko juu yetu
Hatuishi
Njiaani


[Outro]
Tena nguvu zake
Zimetufunika
Hatutaabika
Uongo bado zote
Walipodhamiria
Atafanya tambarare
Atainyosha njia yetu
Waliponaugumu
Atafanya wepesi
Hatutatumia nguvu


Maana atatubeba
Tupenya pamoja


Video