Lyrics
"Sina Hofu" by Frida Gali ft. Chris Shalom.
Verse 1
Najua Bwana wangu Yesu atateta nao
Wanao teta nami
Tena Bwana wangu atapigana nao
Wanao pigana nami
Maana maadui wajapo jipanga
Kupigana nami sisaogopa
Maana Bwana wangu yupo upande wangu
Ananipigania
Chorus
Niseme nini juu ya mambo haya
Bwana akiwa upande wangu
Ni nani awezaye juu yangu
Bwana ni ngome yangu
Namuamini ametenda jana
Ametenda leo
Atatenda kesho
Bwana afanya njia pasipo na njia
Sina hofu kamwe
Sina hofu mimi
Wala shaka kamwe
Kesho yangu mimi
Bwana anashughulika
Verse 2
The keeper of Israel never sleeps
He's God of all flesh, He never slumbers
The Holy One watches over me
He is mine and I am His
Siogopi kuhusu kesho
Siogopi anachoweza binadamu
Kwani namwamini Mungu
Bwana anashughulika
Chorus
Niseme nini juu ya mambo haya
Bwana akiwa upande wangu
Ni nani awezaye juu yangu
Bwana ni ngome yangu
Namuamini ametenda jana
Ametenda leo
Atatenda kesho
Bwana afanya njia pasipo na njia
Sina hofu kamwe
Sina hofu mimi
Wala shaka kamwe
Kesho yangu mimi
Bwana anashughulika
Bridge
(He gives me strength)
Sina hofu mimi
(He gives me courage)
Sina hofu
Wala shaka kamwe
Kesho yangu mimi
Bwana anashughulika
(I have strength)
Sina hofu mimi
(I have courage)
Sina hofu
Wala shaka kamwe
Kesho yangu mimi
Bwana anashughulika
(I rely on You)
Sina hofu mimi
(I believe in You)
Sina hofu
Wala shaka kamwe
Kesho yangu mimi
Bwana anashughulika
(I trust in You)
Sina hofu mimi
(I believe in You)
Sina hofu
Wala shaka kamwe
Kesho yangu mimi
Bwana anashughulika