Niwewe - twakushukuru Muumba ni wewe

Uliniona nilipopotea ukaniosha mimi ukanipa uzima
Uliniona nikiwa mpweke, ukanipa upendo, sasa niko huru

We have come to praise your holy name today
We have come to praise your holy name

Twakushukuru muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe!
Twakuchezea muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe!
Twakushukuru muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe

Maishani mwetu twasema ni Wewe,Unaye Bariki , Unaye okoa.
Twakukimbilia Wewe, twajificha kwako Unaye tujali!

We have come to praise your Holy name today,
We have come oh, to praise your Holy name .

Twakushukuru muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe,
Twakuchezea muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe.

Wewe tulizo la roho zetu
Wewe kipenzi cha roho zetu
Wewe waponya nafsi zetu
Wewe ni mwanzo tena mwisho

Twakushukuru muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe
Twakuchezea muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe.
Twakushukuru muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe
Twakuchezea muumba vyote, tulizo letu, mwamba wetu, Niwewe.

Share:

Write a review of Niwewe - Twakushukuru Muumba Ni Wewe:

0 Comments/Reviews

Mwangi Nimo

@mwangi-nimo

Bio

View all songs, albums & biography of Mwangi Nimo

View Profile

Bible Verses for Niwewe - twakushukuru Muumba ni wewe

No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section

Mp3 Songs & Download from iTunes

  • listen on Itunes Music