John Lisu

Wakusifiwa Wakuabudiwa ni Wewe Tu Mungu wa Miungu Lyrics

Wakusifiwa wakuabudiwa 
Ni wewe tu Mungu wa Miungu  .

Wakusifiwa wakuabudiwa 
Ni wewe tu Mungu wa Miungu 
 
Wakusifiwa wakuabudiwa 
Ni wewe tu Mungu wa Miungu  .

Ni wewe tu (Mungu wa miungu) 
Ni wewe tu (Mungu wa miungu) 
Ni wewe tu (Mungu wa miungu) 
Sema ni wewe tu Bwana
(Mungu wa miungu)  .

Wakusifiwa wakuabudiwa 
Ni wewe tu Mungu wa Miungu  .


Wakusifiwa Wakuabudiwa ni Wewe Tu Mungu wa Miungu Video