Florence Mureithi - Omba Omba utafute uso wa Bwana Lyrics
Lyrics
Gethsamane Yesu Aliomba, Baba mapenzi Yako yatimizwe, Mungu kwa ajili yako na yangu kampa nguvu Akashinda Nawe omba, omba, utafute Uso wa Bwana Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi dada... ndugu...
Mtafute Bwana Apatikanapo, Umuite sasa Yukaribu Asema bwana unapomuita, hakika atakusikia Nawe omba, omba, utafute Uso wa Bwana Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi Ndugu... Dada...
Omba usije ukaingia majaribuni eh ndugu, Usimame mkamilifu mbele za Bwana daima
Nawe omba, omba, utafute Uso wa Bwana Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi Dada omba, omba, utafute Uso wa Bwana Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi Ndugu omba, omba utafute Uso wa Bwana Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
Tuombe,
omba, omba, utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
Wakenya, omba, omba, utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
Tuombe tuombe, omba, omba, utafute Uso wa
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
Video
OMBA BY FLORENCE MUREITHI (Official Video)