Kiu Yangu - Wewe ni Kiu Yangu

by Angel Benard | in Sifa
Mp3

Dhamira yangu Kujua 
Nina wewe Yesu 
Dhamira yangu Kujua 
Nina wewe Yesu 
Asubuhi, mchana wote 
Jioni hata usiku 
Kwenye hali zote 
Nitembee na wewe 
Oh Baba, Oh Yesu  .

Wewe ni kiu yangu 
Njaa ya moyo wangu 
Wewe ni Mungu wangu 
Mfalme wa moyo wangu  .

Nitakase, nifundishe 
Niongoze, nifinyange  .

Kama ayala ayatamanivyo maji
Ndivyo moyo wangu una zaidi wa kutamani
Oh Baba yangu, ninashuka mbele zako
Mapenzi yako yatimizwe maishani mwangu Yesu
Usipolinda wewe mji walindao wanafanya kazi bure
Usipojenga wewe mji wajengao wafanya kazi bure
Nakutamani Yesu zaidi maishani mwangu  .

Wewe ni kiu yangu 
Njaa ya moyo wangu 
Wewe ni Mungu wangu 
Mfalme wa moyo wangu  .

Wewe ni kiu yangu 
Njaa ya moyo wangu 
Wewe ni Mungu wangu 
Mfalme wa moyo wangu  .

Nitakase, nifundishe 
Niongoze, nifinyange  .Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Kiu Yangu - Wewe Ni Kiu Yangu:

1 Comments/Reviews

  • Furaha Bayingana

    I love the song.i feel blessed hearing your voice doing wonders for our God 1 year ago