Sifa Lyrics

Mimi Siyawezi - Yesu Ndiye Msaada Wangu by Abeddy Ngosso cover art

Abeddy Ngosso - Mimi Siyawezi - Yesu Ndiye Msaada Wangu Lyrics

Artist:
Abeddy Ngosso

Lyrics

Yesu ndiye msaada wangu,wa karibu
Kwa yote ninayopitia, maaana mimi
Siyawezi haya yote ,ni wewe uyawezaye


Mungu wangu nifungulie, milango ya mbinguni,
kwa yote ninayopitia, ni wewe uyawezaye ,
Shida zangu zimekuwa nyingi, nakuhitaji wewe


Yesu ndiye msaada wangu,wa karibu
Kwa yote ninayopitia, maaana mimi
Siyawezi haya yote ,ni wewe uyawezaye


Wewe ndiwe unabariki bariki,
Na tena unaponya, mlinzi mwema utulindaye,
na wewe tu unafariji baba ,wewe ndiwe mti wa uzima,
milele twakuhitaji, Baba yeye


Yesu ndiye msaada wangu,wa karibu
Kwa yote ninayopitia, maaana mimi
Siyawezi haya yote ,ni wewe uyawezaye


Yesu wangu nakuhitaji, njoo ndani ya moyo wangu,
unibariki nifariji ,maana nimevunjika
ooh sina mwingine,aniwezaye ila wewe wanitosha


Yesu ndiye msaada wangu,wa karibu
Kwa yote ninayopitia, maaana mimi
Siyawezi haya yote ,ni wewe uyawezaye


Hakuna aliye kama yesu, maana yeye hutenda
Ni wewe uyawezaye
Ninakuinua, ni wewe uyawezaye
Ni wewe waweza yote, ni wewe uyawezaye
Ninakutukuza, ni wewe uyawezaye
Ni wewe waweza yote, ni wewe baba


Abeddy Ngosso ft. Sarah K


Video