Sifa Lyrics

Nategemea by Benachi cover art

Benachi - Nategemea Lyrics

Artist:
Benachi

Lyrics

Ooh oh, mwana wa mfalme ooh
Wapige kwa matendo yako
Kwa mipango wanapanga wao
Nipitishe kwa dirisha milango wakifunga


If God is for me who can be against me
Nikisimama kwenye battle field sihitaji jeshi
Unipitishe kwa mitego, kwa yenye wametega wao
Walio na vikwazo baba kutana nao


If God you're for me, whom shall I fear?
Nikisimama kwenye battle field you're the army


Nategemea we, nategemea we
Nategemea we, nategemea we
Nategemea we, nategemea we
Nategemea we, nategemea we


Aah nategemea we
I depend on you God
Aah nategemea we
I lean on you God


100% penzi unanipea
Sako kwa bako kwako nasogea
Unanilisha unanilea
Mie wako mtoto unanidekeza


Eh eh niende wapi
Ni wapi nitakuwa salama kama si kwako
Nifanye nini?
Ni nini nitaweza kama hujanipa uwezo


Mi mnyonge bila wewe
Mi mnyonge bila wewe, mimi
Mi siwezi bila wewe
Mi siwezi bila wewe


If God you're for me, whom shall I fear?
Nikisimama kwenye battle field you're the army


Nategemea we, nategemea we
Nategemea we, nategemea we
Nategemea we, nategemea we
Nategemea we, nategemea we


Aah nategemea we
I depend on you God
Aah nategemea we
I lean on you God


Nikisimama kwenye battle field sihitaji jeshi
You're my everything that I ever need
Aah nategemea wee
Aah nategemea we


100% penzi unanipea
Sako kwa bako kwako nasogea
Unanilisha unanilea
Eeh unanidekeza


Nadeka, aah aah nadeka
Unanidekeza nadeka
Aah aah nadeka


Nikisimama kwenye battle 
You're everything
Ooh oh oh, ooh oh oh
Nategemea wewewe
Nategemea wewe


Video