Bahati - Nyota Lyrics
Lyrics
Lugende lamu Nikitafuta nyota aiseee Mutema wangu Mukachoma sana aisee
Lugende lamu Nikitafuta nyota aiseee Mutema wangu Mukachoma sana
Kisa cha damu msalabani Uliniwahi wahi wahi Siwezi lenga kama deni una ni dai dai dai

Kwako me nang'aa sana Wewe ni nyota eeh Kwangu zaidi ya star baba Wewe ni nyota eeh

Messiah ninavyo kuimbia Si eti napendalia Laiti wangelijua Mbali ulikonitoa
Ninavyo kuimbia ...aha ahaa Wangelijua ...aha ahaa
Zile time za primo Kaptula mashimo Umenifanya ngumzo Imekuwa ndo sivyo

Wewe ndiye nyota Kwako me nang'aa sana Wewe ni nyota eeh Kwangu zaidi star baba Wewe ni nyota eeh
Kwako me nang'aa sana Wewe ni nyota eeh Kwangu zaidi star baba Wewe ni nyota eeh
Kisa cha damu msalabani Uliniwahi wahi wahi Siwezi lenga kama deni una ni dai dai dai
Kisa cha damu msalabani Uliniwahi wahi wahi Siwezi lenga kama deni una ni dai dai dai
Kwako me nang'aa sana Wewe ni nyota eeh Kwangu zaidi ya star baba Wewe ni nyota eeh
Kwako me nang'aa sana Wewe ni nyota eeh Kwangu zaidi ya star baba Wewe ni nyota eeh
Ulifanya nang'aa Ulinifanya mi star Kwa yote wewe ni nyota eeh Wewe ni nyota eeh Wewe ndiye star Wewe ni nyota eeh
Video
BAHATI - NYOTA (Official Video)