Willy Paul - Kidogo Lyrics
Lyrics
Saldido. Pozee
Walahi mi sikupandana Mabinti warembo lakini sikuguzana Walahi mi sikupandana Mabinti warembo lakini sikuguzana
My heart is bleeding sinyorita Moyo unabomoka sinyorita My heart is bleeding sinyorita Moyo unabomoka sinyorita
Simu ilipolia nilikuwa high Ju ya maji nilikuwa high Ilipolia tena nilikuwa ngwai Juu ya moshi nilikuwa ngai
Ngoja kidogo Ngoja kidogo kidogo mama (Ngoja kidogo) Ngoja kidogo Ngoja kidogo kidogo mama (Ngoja kidogo)
My sinyorita, sisi maria Ngoja kidogo (Ngoja kidogo) My sinyorita, sisi maria Ngoja kidogo (Ngoja kidogo)
Usifanye baby nipandwe na presha Ama ugonjwa wa sukari Ninavyojijua mpenzi siwezi kucheza I'll never do that to yah
Hio sikatai mayeng walikuwa wengi Walikuja na mambogi walikuwa wengi Na mapedi, walikuwa wengi Walikuja na mashisha walikuwa wengi
Hata watu wakigombana wakipandana Nilitulia kwenye kona sikutetema Hata watu wakipepeta, wakipepetana Nilitulia kwenye kona sikupepetana
Ngoja kidogo Ngoja kidogo kidogo mama (Ngoja kidogo) Ngoja kidogo Ngoja kidogo kidogo mama (Ngoja kidogo)
My sinyorita, sisi maria Ngoja kidogo (Ngoja kidogo) My sinyorita, sisi maria Ngoja kidogo (Ngoja kidogo)
Where is the trust Where is your trust you Where is the trust Where is your trust you
Nimekubali nilikosea yah yah Nimekubali nilikosea yah yah
Ngoja kidogo Ngoja kidogo kidogo mama (Ngoja kidogo) Ngoja kidogo Ngoja kidogo kidogo mama (Ngoja kidogo)
My sinyorita, sisi maria Ngoja kidogo (Ngoja kidogo) My sinyorita, sisi maria Ngoja kidogo (Ngoja kidogo)
Video
Willy Paul -Kidogo (Official Audio)