Sifa Lyrics

Utamu by Mr Seed cover art

Mr Seed - Utamu Lyrics

Artist:
Mr Seed

Lyrics

(Alexis on the Beat)
Mr Seed again


Siogopi mawe
Hata wanipige nitabaki nawe
Ndani yako Yesu niko ndani
Huu mwili wangu ndio kanisani


Aah...aaah
Nikikuita unapatika yeah yeah
Aah...aaah
Kwa hizi vita we unashindaga yeah yeah


Anza tena 
Walipodhani nimefika mwisho
Ndio Mungu ameanza tena 
Walipodhani sina suluhisho wowo


Anza tena 
Walipodhani nimefika mwisho
Ndio Mungu ameanza tena 
Walipodhani sina suluhisho


Mwenzenu naona utamu utamu eyaa
Naona utamu
Kwa Yesu naona utamu utamu ooh aah
Kwa Yesu


Mwenzenu naona utamu utamu eyaa
Naona utamu
Kwa Yesu naona utamu utamu eyaa
Kwa Yesu


Raha ya dunia nilijivunia
Kumbe yote vanity
Sasa najirudia uweze kunitumia 
Nisije jipata Kamiti


Ndani yako niko salama
Ndani yako sina lawama
Tukuka we ndio baba
Yote ulimaza kwa msalaba


Aah...aaah
Nikikuita unapatika yeah yeah
Aah...aaah
Kwa hizi vita we unashindaga yeah yeah


Aah...aaah
Nikikuita unapatika yeah yeah
Aah...aaah
Kwa hizi vita we unashindaga yeah yeah


Anza tena 
Walipodhani nimefika mwisho
Ndio Mungu ameanza tena 
Walipodhani sina suluhisho wowo


Anza tena 
Walipodhani nimefika mwisho
Ndio Mungu ameanza tena 
Walipodhani sina suluhisho


Mwenzenu naona utamu utamu eyaa
Naona utamu
Kwa Yesu naona utamu utamu ooh aah
Kwa Yesu


Mwenzenu naona utamu utamu eyaa
Naona utamu
Kwa Yesu naona utamu utamu eyaa
Kwa Yesu


Video