Sifa Lyrics

Mimi ni Nani by Rachats Classic cover art

Rachats Classic - Mimi ni Nani Lyrics

Artist:
Rachats Classic

Lyrics

(Chorus)
Baada ya dhambi nilizozifanya
Mungu kanikumbuka kanipa uzima
Kwa ukweli sistahili upendo wa Mungu
Mimi ni nani unitendea maajabu


(Verse 1)
Naona aibu mbele zako Bwana
Sababu haya umetenda mimi sisistahili
Naona aibu mbele zako Bwana
Sababu haya umetenda mimi sistahili


(Verse 2)
Mimi ni nani?
Sistahili
Alinitoa nyuma nyuma akanifikisha hapa
Watu kama sisi
Hatustahili
Alinitoa nyuma nyuma akanifikisha hapa


(Bridge)
Alafu mimi ni nani?
Mimi ni nani?
Mungu kanikumbuka kanipa uzima
Nimefanya nini?
Nimefanya nini?
Mungu kanikumbuka kanipa uzima


(Outro)
Nimemupa Mungu nini?
Nimemupa nini?
Mungu kanikumbuka kanipa uzima
Watu kama sisi
Hatustahili
Alinitoa nyuma nyuma akanifikisha hapa
Mimi ni nani?
Mimi ni nani?
Mungu kanikumbuka kanipa uzima
Nimefanya nini?
Nimefanya nini?
Mungu kanikumbuka kanipa uzima
Nimemupa nini?
Nimemupa nini?
Mungu kanikumbuka kanipa uzima
Watu kama sisi
Hatustahili
Alinitoa nyuma nyuma akanifikisha hapa


Video