Sifa Lyrics

Ni Siku Kuu by Martha Mwaipaja cover art

Martha Mwaipaja - Ni Siku Kuu Lyrics

Artist:
Martha Mwaipaja

Lyrics

Ni siku kuu siku ile
Ya kumkiri Mwokozi!
Moyo umejaa tele
Kunyamaza hauwezi
Ni siku kuu siku ile
Ya kumkiri Mwokozi!
Moyo umejaa tele
Kunyamaza hauwezi


Siku kuu! Siku kuu!
Ya kuoshwa dhambi zangu kuu
Siku kuu! Siku kuu!
Ya kuoshwa dhambi zangu kuu


Tumekwisha kupatana
Mimi wake,Yeye wangu
Na sasa nitamwandama
Nikiri neno la Mungu
Tumekwisha kupatana
Mimi wake,Yeye wangu
Na sasa nitamwandama
Nikiri neno la Mungu


Hukesha na kuomba tu
Ameniongoza miguu
Suku kuu! Siku kuu!
Ya kuoshwa dhambi zangu kuu


Siku kuu! Siku kuu!
Ya kuoshwa dhambi zangu kuu
Siku kuu! Siku kuu!
Ya kuoshwa dhambi zangu kuu


Video