Bishop Gwajima

Heshima Na Utukufu Na Sifa Ni Zako Bwana Lyrics

Heshima na utukufu na sifa
zote ni zako Bwana 
Matendo ni yako ya ajabu 
Ubarikiwe Baba uinuliwe

Heshima na utukufu
na sifa ni zako Bwana 
Matendo ni yako ya ajabu 
Ubarikiwe Baba uinuliwe

Heshima na utukufu
na sifa ni zako Bwana 
Heshima na utukufu
na sifa ni zako Bwana Heshima Na Utukufu Na Sifa Ni Zako Bwana Video