Sifa Lyrics

Amini Amini Nakwambia  by Angela Chibalonza cover art

Angela Chibalonza - Amini Amini Nakwambia Lyrics

Artist:
Angela Chibalonza

Lyrics

Amini amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliyemwamini Bwana, anao uzima


Ni mwokozi aliyenifia
Nitoke dhambini alisema
Yeye aliyemwamini Bwana anao uzima


Amini amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliyemwamini Bwana, anao uzima


Dhambi zangu zote zilichukuliwa
Deni zangu zote zilipwa

Wote waliomwamini Bwana, wanao uzima


Amini amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliyemwamini Bwana, anao uzima


Ijapo ningekuwa maskini
Ijapo ningekuwa mkosaji
Neno la furaha la mwokozi, ninao uzima


Amini amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliyemwamini Bwana, anao uzima


Na sina shaka nitamwamini
Yeye ajaye kwake hatupwi
Amwaminiye tuma habari, tunao uzima


Video