Sifa Lyrics

Nishikilie by Jowie Irungu cover art

Jowie Irungu - Nishikilie Lyrics

Artist:
Jowie Irungu

Lyrics

Psalms 31:15 and it says 
"My times are in Thy hand 
Deliver me from the hand of the enemy
And from them execute me"


That's my confidence 


Nishi, nishike
Nishi, nishikilie


(Safri Records)


Mikosi mikosi taabani
Mimi siwezi
Siwezi bila wewe 
Siwezi bila wewe


Nishi, nishike
Nishi, nishikilie
Mwamba ni salama 
Mwamba ni salama 


Nishi, nishike
Nishi, nishikilie
Ni mwamba 
Ni mwamba ni salamaaa...ooh yeah


Panda shuka zangu zote Baba 
Ni wewe wazijua
Teremka na panda shuka
Ni wewe wazijua


Machozi yangu Baba
Ni wewe wanifuta
Ni wewe wanipanguza
Ni wewe waniinua Baba...
Ni wewe waniinua Baba...


Nishike nishikilie
Mwamba ni salama 
Mwamba ni salama 


Nishike nishikilie
Mwamba ni salama 
Mwamba ni salama 


Yahweh yeah
Yahweh nakuamini Baba
Yahweh yeah
Yahweh nakuamini Baba


Yahweh yeah
Yahweh nakuamini Baba
Yahweh yeah
Yahweh nakuamini Baba


Yahweh yeah
Yahweh nakuamini Baba
Yahweh yeah
Yahweh nakuamini Baba


Nishike nishikilie
Mwamba ni salama, mwamba ni salama 
Nishike nishikilie
Mwamba ni salama, mwamba ni salama


Nishike nishikilie
Mwamba ni salama, mwamba ni salama 
Nishike nishikilie
Mwamba ni salama, mwamba ni salama


Yahweh yeah
Yahweh nakuamini Baba
Yahweh yeah
Yahweh nakuamini Baba


Yahweh yeah
Yahweh nakuamini Baba
Yahweh yeah
Yahweh nakuamini Baba


Video