Wewe ni Mungu

Wewe ni Mungu Lyrics

Wewe ni Mungu 
Wewe ni Mungu 
Wewe ni Mungu 
Wastahili upewe sifa ewe Bwana 
Wastahili upewe sifa ewe Bwana  .

Wewe ni alpha na Omega 
Wa kwanza na wa mwisho 
Wewe ni alpha na Omega 
Wa kwanza na wa mwisho  .

Wastahili upewe sifa Mungu 
Wastahili upewe sifa Mungu 
Upewe sifa  .

Kwa kuwa wewe ni yule 
Jana hata milele 
Kwa kuwa wewe ni yule 
Jana hata milele 
Nikufananishe na nani Mungu wangu 
Nikufananishe na nani Mungu wangu  .

Nikitafakari jinsi unavyolinda watu wako 
Naona ajabu 
Nikitafakari jinsi unavyolinda watu wako 
Naona ajabu
Hata akili zangu zashindwa 
Kuyatafakari makuu ya Mungu  .

Wastahili sifa ewe Mungu wangu 
Wastahili sifa ewe Mungu wangu 
Wastahili upewe sifa 
Wastahili upewe sifa  .

Maana tulilala kama vile, kama vile wafu 
Masikio wazi hakika na vinywa wazi 
Maana tulilala kama vile, kama vile wafu 
Masikio wazi hakika na vinywa wazi 
Vidudu vilitembea juu ya miili yetu 
Ili vituangamize lakini Mungu umetushindia 
Vidudu vilitembea juu ya miili yetu 
Ili vituangamize lakini Mungu umetushindia  .

Wastahili upewe sifa Yahweh (umetushindia) 
Kwa kuwa wewe ni Mungu (umetushindia) 
Wastahili upewe sifa Baba (umetushindia) 
...


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Wewe Ni Mungu:

0 Comments/Reviews