Sifa Lyrics

Sitabaki Kama Nilivyo Cover by Glory Shavu cover art

Glory Shavu - Sitabaki Kama Nilivyo Cover Lyrics

Artist:
Glory Shavu

Lyrics

Maisha haya, ninapita tu
Hali hii ya sasa ni kwa muda tu
Ushindi wangu, U karibu nami
Mtetezi wangu, yu hai . .


Sitabaki kama nilivyo

Silalamiki, wala sikufuru
Najua ni darasa napitishwa
Imani yangu ipo kwenye kipimo . .


Najua nitapita tu
Sitamani za wengine wala sijilinganishi
Najua wakati wangu upo
Siogopeswhi na mapito ninayoyapitia
Namwamini yule aliyeruhusu nipite . .


Sitabaki kama nilivyo

Sitabaki kama nilivyo

Sitabaki kama nilivyo eeh
Mtetezi wangu
Yu hai (Yu hai)
Sitabaki kama nilivyo .


Original Song: Sitabaki Nilivyo by Joel Lwaga


Video