Mimi ni Wa Juu Cover Lyrics - Glory Shavu

Glory Shavu swahili

Buy/Download Audio

Mimi ni Wa Juu Cover Lyrics

kuna wakati wa giza 
Mbele sioni najiuliza 
Mbona kama hizi shida 
Zimekawia kuisha 
Katikati ya maswali 
Nasikia sauti ndani, imebeba ujasiri 
Ikinitaka nikiri nikisema . .

Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu 
Mimi ni wa juu, juu sana 
Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu 
Mimi ni wa juu, juu sana . .

Sitafsiriwi kwa haya, machozi na magumu 
Mimi ni mshindi tu, kamusi ndiye Mungu 
Haijalishi ni giza, Yeye ni nuru yangu 
Nitashinda hii vita na yote yatakwisha 
Ntasimama tena, ntainuka tena 
Mimi ni wa juu tu, mimi ni wajuu tu 
Ntasimama tena, ntainuka tena 
Mimi ni wa juu tu, mimi ni wajuu tu . .

Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu 
Mimi ni wa juu, juu sana 
Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu 
Mimi ni wa juu, juu sana . .

Nawaza yaliyo juu, nawaza yaliyo juu 
Juu sana 
Nawaza yaliyo juu, nawaza yaliyo juu 
Juu sana .
Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu 
Mimi ni wa juu, juu sana . .

Sitafsiriwi kwa haya, machozi na magumu 
Mimi ni mshindi tu, kamusi ndiye Mungu 
Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu 
Mimi ni wa juu, juu sana . .

Original Song: Mimi ni Wa Juu by Joel Lwaga


Mimi ni Wa Juu Cover Video