Baba we ni moto wewe mtakatifu
Wewe ndiwe Mungu pekee
Tena we sauti ukinena nani apinge
Nasema we sauti
Ukisema ni ndio na amina
Njia ya uzima, kweli na uhai niwe
Baba we ni mot wewe mtakatifu
Wewe ndiwe Mungu pekee
Nasema we sauti ukinena nani apinge
Nasema we sauti
Ukisema ni ndio na amina
Njia ya uzima, kweli na uhai niwe
Njia ya uzima, kweli na uhai niwe
Utukuzwe Bwana, utukuzwe
Utuzwe Bwana, milele
Sifa zako bado zaenea
Bwana utukuzwe
Utukuzwe Bwana, utukuzwe
Utuzwe Bwana, milele
Sifa zako bado zaenea
Bwana utukuzwe
Moyo wangu nauegemeza kwako
Na macho yangu nakuinulia tena
Uhai wangu nimeachilia kwako Baba
Wastahili nakusalimu, nakusalimu Yesu
Utukuzwe Bwana, utukuzwe
Utuzwe Bwana, milele
Sifa zako bado zaenea
Bwana utukuzwe
Hallelujah eeh, halleluja aah
Hallelujah eeh, halleluja aah
(Ni kwa nani)
Hallelujah eeh, halleluja aah
(Ni kwa Yesu)
Hallelujah eeh, halleluja aah
(Inua kabisa)
Hallelujah eeh, halleluja aah
Utukuzwe Bwana, utukuzwe
Utuzwe Bwana, milele
Sifa zako bado zaenea
Bwana utukuzwe