Enda Nasi - Tunaomba Uwepo Wako Uende Nasi

Tunaomba uwepo wako uende nasi
Ewe Bwana wa majeshi utusikie
Kama huendi nasi, hatutaki kutoka hapa
Hatuwezi pekee yetu, enda nasi
Tu watu wa shingo ngumu tusamehe
Hatufai mbele zako, turehemu
Tusafishe ee Baba, tuonyeshe uso wako
Twahitaji neema yako, enda nasi

Tutavua mapambo yetu
Na vitu vyote vya thamani kwetu
Mioyo yetu twaleta mbele zako
Tutakase na utembee nasi

Tunaomba utuonyeshe njia zako
Kwa maana umetuita kwa jina
Twalilia Ee Bwana, utukufu na uso wako
Bila wewe tutashindwa, enda nasi

Tutavua mapambo yetu
Na vitu vyote vya thamani kwetu
Mioyo yetu twaleta mbele zako
Tutakase na utembee nasi


Share:

Write a review of Enda Nasi - Tunaomba Uwepo Wako Uende Nasi:

13 Comments/Reviews

 • Martin

  It is a worship song of decades. Still fresh and inspiring 1 year ago

 • Nimo

  A real worship song..brings me so close to the Almighty God.... 1 year ago

 • Lameck Ndossy

  Huu wimbo umenibariki sana na I love it kweli ni wimbo unaotutia nguvu sana na kuifanya mioyo kuona uwepo wa mungu,hongera sana mtunzi wa wimbo huu. 1 year ago


 • Reuben Kigame

  @reuben-kigame

  Bio

  View all songs, albums & biography of Reuben Kigame

  View Profile

  Bible Verses for Enda Nasi - Tunaomba Uwepo Wako Uende Nasi

  Exodus 33 : 15

  And Moses said, If you yourself are not going with us, do not send us on from here.

  Mp3 Songs & Download from iTunes

  • listen on Itunes Music