Sifa Lyrics

Unamuwinda Nani by Betty Bayo cover art

Betty Bayo - Unamuwinda Nani Lyrics

Artist:
Betty Bayo

Lyrics

Unamuwinda Nani? nani?
Unamtafuta nani? Nani?
Napigana pigana pigana pigana
Adui yangu nani? Nani?
Vita si vyangu mimi, vita ni vya Mungu
Atapigana pigana na wewe atakushinda tu


Saul mbona unaniwinda?
Nauliza mbona unaniwinda?
Usiku mchana unanilinda


Mimi mhunga kondoo kijana wa Yese
Umri wangu mdogo vita siviwezi
Bara ino ti yakwa bara ino ni ya Ngai
Niakuhotanira


Kiwanda nilikupigia, zeze nilikupigia 
Kirubi nilikupigia, wimbo nikakuimbia
Kinanda ngiguthakira, coro ngikuhuhira
Guitar ngikuhurira, ona rwimbo ngikuinira
Lakini mbona unaniwinda? Lo unaniwinda


Unamuwinda Nani? nani?
Unamtafuta nani? Nani?
Napigana pigana pigana pigana
Adui yangu nani? Nani?
Vita si vyangu mimi, vita ni vya Mungu
Atapigana pigana na wewe atakushinda tu


Saul niki tururania
Saul niki ndagwikiire
Gwendagira wega, unyendagira uru
Nie ndi kwirihiria ngugutigira Ngai


Ulinituma kwa - za Wafilisti
Nenda nikakuletea Sauli acha unafiki
Nikamuumua Goliath adui wako mkubwa
Nikamuua Goliath adui wa Israeli


Kosa langu ni nini?
Dhambi yangu ni nini?
Hau mahetia meha?
Nyingi niki ndeka?


Kwanini leo unaniwinda?
Wewe unaniwinda oh


Unamuwinda Nani? nani?
Unamtafuta nani? Nani?
Napigana pigana pigana pigana
Adui yangu nani? Nani?
Vita si vyangu mimi, vita ni vya Mungu
Atapigana pigana na wewe atakushinda tu


Unamuwinda Nani? nani?
Unamtafuta nani? Nani?
Napigana pigana pigana pigana
Adui yangu nani? Nani?
Vita si vyangu mimi, vita ni vya Mungu
Atapigana pigana na wewe atakushinda tu


Video