Bahati - Ndoto Lyrics

Lyrics

Mmmh Mbogi Genje Mbogi genje, niko genje Bahati...

(EMB Records)

Skiza, ni mbali nimetoka Mawazo stress lini nitaomoka I've seen my friends die everyday ey Because of crime I loose my day eeh

[Guzman] Guzuu.. Nikirise kwa ftiach ya mroko Alini-guide nakukashifu usoro Ady bonoko tulikashi na mnoko Tukitapo mamkish maorosho Never forget sheito alikua angel  Ukimdiss anakuviet na attention Alitekeswa kipaji na underration Na ukimkashif anajua ye ni devil Ka riang'a siinzagi kwa mongo Ka riang'a siinzagi kwa mongo

[Chorus: Bahati] Ebu cheki nimetoka mbali Ni kama ndoto Ebu cheki naenda mbali Ni kama ndoto Ebu cheki nimetoka mbali Ni kama ndoto Ebu cheki naenda mbali Ni kama ndoto

Mi nina ndoto nitoke kwa mtaa Niwe sonko mami-ii Niwache crime niuze na bidhaa Kabiashara nani-ii

Mi nina ndoto ya kukuwa star Internationally-ii Nirudi home nibadilishe mtaa Kwetu Mathare nani-ii

[Smady Tings] Livity nimepitia ni ordeal  Na ndo maana youth wanasuffer nawafeel Na ndo maana, daila mi natry kukeep it real  Siku mingi wamejaribu kuni-derail Mbogi ndo mi nawavutishanga line  Walibaki nikachorea ku force line  Ju design nilikuwa sawa ni kama ni lime Nikihope some day vitu zitakuwa fine

Hustle noma lakini sijajipin Ju bidii ndio kitu ilinitoa kwa scene Walijudge hawakumezea nimebeba dream Na siwezi loose life ndo nipandisie king

[Chorus: Bahati] Ebu cheki nimetoka mbali Ni kama ndoto Ebu cheki naenda mbali Ni kama ndoto Ebu cheki nimetoka mbali Ni kama ndoto Ebu cheki naenda mbali Ni kama ndoto

[Militan] Wholla jai rengwa zote ni kirao (Ni kirao) Janta some kabla nijichape mboka Ghetto youth kila gota ni kujuggle Hawadai maghetto youth wagonye dibra Daila ni kufruss wakiturianyu Jahjahre nauwo tunazied gwatha

Lutu amasung sirudi manyu Nimeviex vile rima kumeidra Sina riang kama daila niko furda Med zole zinaitisha surba Ju nadai zinibebe kama ubra Ju nadai zinibebe kama ubra

[Bahati] Mi nina ndoto nitatoka chini Nina ndoto mtoto wa masikini Nina ndoto nitaenda far Nicheze ligi ya mabingwa kama Wanyama

[Chorus: Bahati] Ebu cheki nimetoka mbali Ni kama ndoto Ebu cheki naenda mbali Ni kama ndoto Ebu cheki nimetoka mbali Ni kama ndoto Ebu cheki naenda mbali Ni kama ndoto

[Outro] Watu wangu wa ghetto Watu wangu wa ghetto Mathare mashimoni Huruma vibandani

Watu wangu wa ghetto Watu wangu wa ghetto Eastlando yoh yoh  Msifu moyo yoh yoh yoh   

Video

BAHATI FEAT. MBOGI GENJE - NDOTO (Official Video) Sms SKIZA 5400032 to 811

Thumbnail for Ndoto video
Loading...
In Queue
View Lyrics