Bahati - Huyu Lyrics

Contents:

Huyu Lyrics

Mesesi aah
Sielewii
Ni bahati tenaaa

Anayefanya sitoki
Nyumbani nimekaa
Anayefanya sishiki
Na simu nimenyonga
Nimelewa mapenzi
Mwenzenu siendi bar
Ananifanya na cum
Utamu siezi kaa
Akinishika naheema
Akinichumu nalewa
Akinipa nameza, nimedata
Akinishika naheema
Mi nalewa
Siezi kataa
Sina hata

Wanauliza nani huyu
Eehee huyu
Mwoneni huyu
Chaguo langu
Roho yangu
Huyu aaah huyuuu
Mmh huyuuu
Chaguo langu
Naonyesha
Mwonenii

Shika moyo wangu
Na akili zangu
Na mawazo yangu, chukua
Wewe ndio wangu
Na mwandani wangu
Basi siri zangu, chukua
Ona kama mtoto unanilelea
Ona sura yako nakuoa
Unavyoniny wesha nimelewa
Usiongeze utamu utaniua

Wanauliza nani huyuu
Eehee huyu
Mwoneni huyu
Chaguo langu
Roho yangu
Huyu aaah huyuuu
Mmh huyuuu
Chaguo langu
Naonyesha
Mwonenii

Ona kama mtoto unanilelea
Ona sura yako nakuoa
Unavyoniny wesha nimelewa
Usiongeze utamu utaniua

Wanauliza nani huyuu
Eehee huyu
Mwoneni huyu
Chaguo langu
Roho yangu
Huyu aaah huyuuu
Mmh huyuuu
Chaguo langu
Naonyesha
Mwonenii

Akinishika naheema
Akinichumu nalewa
Akinipa nameza, nimedata


Bahati Songs

Related Songs