Bahati - Fire Lyrics

Fire Lyrics

Tunaunga mkono, tunaunga mkono
(Tinga na Bahati tena)
Fire (fire), Fire (fire)
Kijana fire (fire)
Kijana fire (fire)

Ni Bahati tena na leo nimekuja na Tinga
Asante sana mmenikubali bila kupinga
Nimekuja na baba, Raila Amollo Odinga
Mi mtoto wa Mathare yaani mtoto wa mama
Nimeshikana na baba tumekuja kutinga

Round hii ni fire
Fire (fire), Fire (fire)
Kijana fire (fire)
Kijana fire (fire)

Fire (fire), Fire (fire)
Kijana fire (fire)
Kijana fire (fire)

Maendeleo analeta kwa wamama (Kwa wamama)
Na kazi analete kwa vijana, kwa vijana
Anamaliza ufisadi kwa wajanja, kwa wajanja
Anaongeza na nguvu kwa wababa

Mi mtoto wa Mathare yaani mtoto wa mama
Nimeshikana na baba tumekuja kutinga

Round hii ni fire
Fire (fire), Fire (fire)
Kijana fire (fire)
Kijana fire (fire)

Fire (fire), Fire (fire)
Kijana fire (fire)
Kijana fire (fire)

Naunga mkono, naunga mkono
Wangapi wanaunga mkono nione kwa mkono

Ni Bahati tena na leo nimekuja na Tinga
Asante sana mmenikubali bila kupinga
Nimekuja na baba, Raila Amollo Odinga
Mi mtoto wa Mathare yaani mtoto wa mama
Nimeshikana na baba tumekuja kutinga

Fire (fire), Fire (fire)
Kijana fire (fire)
Kijana fire (fire)

Fire (fire), Fire (fire)
Kijana fire (fire)
Kijana fire (fire)
 


Fire Video

Bahati Songs

Related Songs