Bahati - Fikra za Bahati Lyrics
Lyrics
Mamako akinipenda niite baba wa kambo Wasanii kwa uwanja nadeal nao ki Rambo Uliza Sauti Sol founder wa kufungua label Wakati wanasign nishadismiss kitambo
Mziki sio kiki makali kama panga Mwisho wa maneno Ringtone nakuvisha kanga Pole Octopizzo walikuendea Sumbawanga Mzungu ulipata ukashindwa kujipanga
Sina urafiki wa mtoto peremende Leo mtajua siri ya kifo cha mende Mr Omollo kwa gym matembe Daddy Owen ulitotoa mbaby
Oh kila mtu lele, Oh kila mtu lele
Kwenye beat umeokoka unahubiri Na ulifanya mimba iwe siri Mbona yangu ilikuwa hivo nikaitwa kafiri Na bado mnauliza mbona siko kwa injili
Siogopi mkisema nimeshasikia tayari Maneno hayaniwezi nimeshakuwa ngangari Natema wala kwa kila hali na shwari Muda uko salama ndio wa hatari
Mi ni stima naogopwa kama kifo Wakiskia Bahati akili zinaingia default Mi na vibe mi ndio Bob Marley Bao ya Ronaldo wakojoe walale
Mi ndio bumps mtaslow down Mi sio wa kukam mi ni born tao
Ni fikra za bahati kwenye love like this You know fam thank you for the support But I had to give you my thoughts Before the big album "Love Like This Album"
Listen to this, stream, wait for this Best best album "Love Like This"
Video
BAHATI - FIKRA ZA BAHATI ( Official Video ) FOR SKIZA DIAL *812*818#