Willy Paul - Kesho Lyrics

Album: Kesho - Single
Released: 24 Sep 2022
iTunes Amazon Music

Lyrics

Nakumbuka nikikuita unasonya Wanipandisa wanishusha Nilikua sina doh Mtaani nala dodo Nilikua sina jambo Iweje leo nina jambo Mwana kulifind mwana kuli get oh Ndio waniita mpenzi Mwana kuli find mwana kuli get of Ndio waniita your baby I’m sorry nilipotaka uwe mke Ulisema sina doh so so sorry Ata kabaiskeli kangu Ulisema nisake doh doh Do you know Ni kidonda aina gani Uloniweka moyoni Upendo unadhaminiwa, pale wakiwa nazo Upendo unadhaminiwa, pale wakiwa nazo

Nilikuomba usubiri ata kesho Nilikuomba usubiri ata kesho Na na kesho sawa Nilikuomba usubiri ata kesho Na na kesho sawa Nilikuomba usubiri ata kesho Na na kesho sawa

Ulichoka na maisha ya tomato Tomato tomato tomato chumvi ugali Ulitaka maisha dubai na mi sikatai Bora ungeni subiri baby ona leo Ninamiliki nayumba 30 pale lavii It’s so sad siwezi share Na niliye mpenda kwa moyo wa dhati My valentino, ungenitunzia moyo wako Kuliko kunivunja moyo ulivyonivunja mama Hata kosa ilipo tokea , nilishindwa kukasirika Hata moyo ulipo nivunja, nilishindwa kukasirika

Nilikuomba usubiri ata kesho Nilikuomba usubiri ata kesho Na na kesho sawa Nilikuomba usubiri ata kesho Na na kesho sawa Nilikuomba usubiri ata kesho Na na kesho sawa

Ulitoruka sababu sikua na lolote Kwa magoti niliomba usiniache my lover Kesho yetu itakua sawa Ulipigiwa simu Nilipo gonjeka karibu nifa mama Ukasema hunujui, mi na we tulikua mistake Baby don’t blame me, don’t blame me Nimepata mwingine Baby don’t blame me, don’t blame me Nimepata mwingine

Nilikuomba usubiri ata kesho Nilikuomba usubiri ata kesho Na na kesho sawa Nilikuomba usubiri ata kesho Na na kesho sawa Nilikuomba usubiri ata kesho Na na kesho sawa

Video

Willy Paul - Kesho ( visualizer )

Thumbnail for Kesho video
Loading...
In Queue
View Lyrics