Ruth Wamuyu - Baba Mwaminifu Lyrics

Lyrics

Nilikulilia nikiwa na huzuni nyingi Uketiye juu, umetenda Umenirudishia furaha ya wokovu Hallelujah ahadi zako ni za kweli

Uhimidiwe, ushukuriwe Usifiwe Baba mwamifu Uhimidiwe, ushukuriwe Usifiwe Baba mwamifu

Tabibu wa moyo wewe hauchelewi Niliona kama nitashindwa Kumbe kwa haraka umeniondolea Dhihaka ya watesi Hallelujah usifiwe

Uhimidiwe, ushukuriwe Usifiwe Baba mwamifu Uhimidiwe, ushukuriwe Usifiwe Baba mwamifu

Wateule wote zidini kujitia moyo Hata kama bado hajatenda Yeye hachelewi ni baba mwaminifu Si mwingi wa hasira anatupenda sisi sote

Uhimidiwe, ushukuriwe Usifiwe Baba mwamifu Uhimidiwe, ushukuriwe Usifiwe Baba mwamifu

Uhimidiwe, ushukuriwe Usifiwe Baba mwamifu Uhimidiwe, ushukuriwe Usifiwe Baba mwamifu

Video

Baba Mwaminifu - Rev Ruth Wamuyu (OFFICIAL VIDEO) SMS [Skiza 7637120] to 811

Thumbnail for Baba Mwaminifu video
Loading...
In Queue
View Lyrics