Nyashinski - Finyo Lyrics

Lyrics

Hodi kwa mama mtoto mkorofi acha nikuambie ka unataka kuona machozi Ya mtoto mchokozi Itabidi uongeze pilipili kwa biriani Otherwise, ka si hivyo wanachama hatuliangi Hatutuliangi Na ndukulu ni bangi Na ina harufu mbaya Na inaudhi majirani Lakini haidhuru ni sawa   Acha wahamie mashinani Ka inawadhuru vibaya

Yooo! Hey! Zinatubastia ka bomb bomb kwa corner Mi na squadi iko chrome Na  macon men na wakora Wana Diploma zakufungualisha Grogon  ma Corolla The Boredom mnasorora  Vile hamna Talent So mmegeuza game Sodom na Gomora

Vuta hiyo trouser juu wacha kutuonyesha tako Vuta hiyo Mini Chini unamwaibisha mamako Ka unatafuta ule anajua kupika Uji Sio kupiga picha uchi Unfollow Nyako follow nyanyako Ukitaka nyama hapa sawa chief Hii butchery tunaita Usiwahi blunder na beef na si huangalia ni ka skanga Bonga shit unatandikwa ka  kitambaa, bedcover ama handkerchief

[CHORUS] If your God is money Then you're poor  to me I have a feeling You are not who you pretend to be on IG Kutoka nursery, I have been a winner Msiniweke gasoline na bado hamjazima moto niliwasha '03

Na kam na (finyo) Macho macho(finyo) Ndivyo tuna (finyo) Pasito na (finyo) Mwendo tuna (finyo) Mwenye tuna (finyo sana)

Be  ready for the world Is it ready for you? You waiting for your girl Is she waiting for you?

Uliskia type yako hu like mabachelors Sijui kama ni true IG bae ni yule Carpenter I feel ka ni true Ah-ah  ni reasoning si umang'aa Ujinga ndo si hukataa Sacrifice ni kuifanya For family sio chapaaa Greatness ni kuamkia legacy sio chapaaa Siwezi kuwa juu ya thao Ka Kwangu thao sio chapaa

My apartment is in Amsterdam Certified Rasta man Aki sometime na hang I feel like Am Sadam I feel like am the best Me kumake Man impress (Zii) Kufake Hapiness (Zii) Me ni m merciless Am Ill,  na nitawatesa until mkubali kesi, ka sitaku Impress na skill Ni pamba freshi, Ukidai tuingie commercial still Na kuwanga messy Prepare kuingia kwa battle field na mwanajeshi Hii ndo inaitwa One shot kill Na feelingi fiti Nikiwamada ki action film Na Believe hii muziki itanibuyia mansion still Na .....

 

[CHORUS] If your God is money Then you're poor  to me I have a feeling You are not who you pretend to be on IG Kutoka nursery, I have been a winner Msiniweke gasoline na bado hamjazima moto niliwasha '03

Na kam na (finyo) Macho macho(finyo) Ndivyo tuna (finyo) Pasito na (finyo) Mwendo tuna (finyo) Mwenye tuna (finyo sana)

Mwanaume aseme hii shamba siwezi lima Nakam na plough mbili Hiyo ingine ni ya finyo pekee (hehe) Niko na issue ikiwa juu yangu kama sio kofia Kwa ma issue za vitabu za historia Jina yangu watoi wako wataisoma pia Ata ka utadedi ukisema hukuwahi niskia Nishakuskia kila year ukilia Utarun next year Si this Year pia ilianza ukilia "Walai this year!" Next year nitakuhit niko high ju Niko Hai this year Sitakuwa Hai Next year ka Nitakuwa High next year Excuse, Excuse Me! Please Sorry Thank you! Mission Impossible! Kifo ni ngori jo! Na isikupate ukitry too hard to be perfect Sometimes jipe ruhusa tu kuwa ratchet Smile ka bado hujapita budget Na ka umepita ficha shida chini ya carpet

Inapiga! Inapiga! Kushinda earthquake Inapiga! Inapiga! Kushinda earthquake Watu na race nao wameshindwa kushusha handbrake Uhunye na Rao wamepiga Handshake!

 

Video

Nyashinski - Finyo (Official Music Video)

Thumbnail for Finyo video

Meaning & Inspiration

not a christian song.

Loading...
In Queue
View Lyrics