Nyashinski - Top Form Lyrics

Lyrics

Mwaka mzima hakuna show  Sa unatakaje? (Sa unatakaje) Ka ki cookie rent haishuki Na mi ni mzazi vitu sihitaji Vitu sihitaji zinafeel stupid So sikupi mziki huhitaji Kwa ufupi chini sistuki Mimi niko juu vile huwezi imagine

Watu wanataka hope niitoe wapi? Mi mwenyewe nashangaa hii row  Najua kutaendaje? Vitu ka mng'aro kwanza nishatoa kwa budget Sijali kwa gram hizo mapicha zitatokaje Madeni za masupplier  Grown men sa wanagwaya Pia mi naomba nipeeni chance ka KEMSA wanahire

Ulimjudge sa unamwita mentor ju kuna pesa kwa umalaya Shingo inameremeta nakaa influencer wa mawaya Mi huwa na simu ukiniita bash nakuja na till Na look inaclash na sura ya ndimu Na watu mnatrust ni watu naheshimu Ka kuna cash ndo nashika simu Ka niko works nakuwanga mashini Nalipa tax na nalipa bill Ndio maana ni black alafu iyasin

Hawa mayoungin' wananeed mentorship More than wananeed censorship Kwa street mi ni evangelist Wanaserve tea mi naserve confidence Success si by accident Na usifocus ie on past events Na rulebook jua tu must ibent Na goodbooks si I don't judge me men

Kwa top 3 mi ni number 1 2 3 Ofcourse hii city iko na love for me Na approach hii kitu kama destiny Masoftie ndo huwaga waloud viziii

Ka hunioni hata mi sikuoni But haifiki jioni ka huniskii redioni Mi ni ka news we hata na miwani Bado na binocular bado mi sikuoni

Paid my dues, kwa lifestyle socials ni headline news Hakufai kuwa na jam nilkiheadline shows Grown ass men complain like hoes Ku sign wasanii hakuna haina deadline bro I'll do it when I do it

Mwaka mzima hakuna show, acha tuziashe Kilimanjaro tu  ndo itapita hii highness Ama collabo kati ya mi na South C finest (R.I.P) Ata kwa mtaro utanipata na designer

Acha tuziashe Kilimanjaro tu  ndo itapita hii highness For my people I do whatever I can...  

Video

Nyashinski - Top Form (Official Audio)

Thumbnail for Top Form video
Loading...
In Queue
View Lyrics