Nyashinski - KEBS Lyrics
Lyrics
Umezoeshwa vibaya ndo huji wezi Unaskiza jamaa mbaya bana very true Nawashika bila kuwa valia navy blue Malaika inani show umeweka mapenzi juu (yeah)
Rumors za ma scandal za ulover na lady drama Na ati statoe mahali ukona baby mama Kwa mitandao kilasiku ni story new Bundless zako zikiisha utapitwa uspo renew Kaapedi niko chini yaw aba lea dredi zinafungwa juu Naishi mahali juu kaa anga So daily na enjoy the view
Ukitaka kuona roho chafu Shika doe kidogo uone vile utaboo watu For 10 years hamkuwa mnajali mahali ninalala He screw driver yangu ni shimo gani ina screw Mtu mahali ameamua hata lala salama Kabla ahakikishe ameambia watu Nyash anajiduu Staki kuona watu wakiku celebrate Role model na watoi wanaku imitate Haumangi pekee yako tuna split hii plate Au tuku trendishe vile tulifanya Jimmy Gait Hii industry ina madi uko sure unataka fame Pengine ndio maana siblend in ju Unaeza tell kuna vile mi na hao hatuko same Mi si ng’ombe yako ya gredi du
Umezoeshwa vibaya ndo huji wezi Unaskiza jamaa mbaya bana very true Nawashika bila kuwa Valia navy blue Malaika inani show umeweka mapenzi juu (KEBS!) Standard ya quality sisi hapa (KEBS!) Hmm hii ndio standard ya quality..; (KEBS) Hahahaha (KEBS)
Nawasjia mkiongea naamua kukaa kimya Naona far kaa twiga Au kaa mjinga Ama bouncer au napima Wazimu nawazima kwa simunna ya sima Ya mchuzi ndio sina
You can’t believe all this bullshit you’re reading You can’t be really considering singing Big fat cheque for Nyashinski though Ata ka mungu pekee haikuwa na video Ana ngoma tatu pekee tumwitie nini show Naskia kwenda mainterview anaitisha millioni You can’t believe all this bullshit you’re reading You can’t be… You can’t be… You can’t be serious You can be anything you wanna be A drug addict (you drug addict)
Nyumba runda bado tuni fantasy List ni watu wawili mi na king wa South C Nikipenya mnapenya but your eyes can’t see Uko busy tu kwa group tu hating on me Eti oh he has a big E.G.O He refused to follow me on IG I’m not voting
God bless you even before you sneeze It’s a free country you can do as you please Nikiamka Sunday nijipate on my knees Ntakuwa nasema ansate sio please
Umezoeshwa vibaya ndo huji wezi Unaskiza jamaa mbaya bana very true Nawashika bila kuwa valia navy blue Malaika inani show umeweka mapenzi juu
Video
Nyashinski - KEBS (Official Lyric Video)