Nyashinski - Wach Wach Lyrics
Lyrics
Yeah, uh, yeah yeah Wach wach, wach wach Yeah
Mi ni senior nafaa kuwa na deputy Pedi wako anajua nina pedigree Infact unafaa kuwa unasimama niketi Hii gava itasanya mamatha vibeti
Mwizi atakuibia walenje ukidedi Mwizi anapunguza jam akidedi Hizo ndo vitu marapper hawatemi Kwao ma-career ni pang'ang'a na deni
Hakuna mtu anasema ukweli Wote wanalipwa mapeni Nikiwa mavela naona Makaveli Hii ni msemo hufika People Daily
Umeng'aria hawa watu for long Mpaka sai inaboo Inaboo sa mpaka sa umeanza Ku long for watu unang'aria
Iko wapi hizo throne naskia zimekaliwa Sikuwangi kwa zone nakuwanga kwa caliber Flani ya form haiezi mature Najua itakuwa long kabla m-mature
Msinitry mi najijua Risasi haisimamishwangi na kifua Kisasi hailipishangwi na ratili Na kama customer flani anasumbua
Mi najijua! Nimeconfirm (Nimeconfirm) Mi najijua (Mi najijua) Mitaa zimetii tii Mi nachafua (Mi nachafua)
Zao ziko down (Zao ziko down) Si tuko tour (Si tuko tour) Mitaa zimetii tii Mi nachafua (Mi nachafua)
Sema sa wach wach ndo vile naskia (Wach wach wach, wach wach) Wach wach ndo vile nasikia Wach wach ndo vile nasikia
Sema sa wach wach ndo vile naskia (Wach wach wach, wach wach) Wach wach ndo vile nasikia Wach wach ndo vile nasikia
Okey you see, only what they like you see Na hii ni advice si matusi Don't f*uck up ju ya nganji Don't act up like you are so Holy
Judgement yako haikuponyi Ukiomoka asubuhi uskuwe umesota by jioni Mi naslaughter microphoni Go missing hamnioni
Nikinyamaza jua niko promising ka Tigoni Been polishing skills za mine Ni astonishing ka millioni Na inakaa ungekaa mjinga If you were wishing failure on me
Yeah mauraru hata hatujatuna Ngata gari yangu inakunywa Difference na tap najichuma Guaranteed leo back inakuuma
Shey, ka mr tuner, ah sina tumour Plus huna kiuno hadi najiuma Umetisha and I'm sure you know We itisha mpaka wajam Na hii beat ni ya my nigga Sam Eardrums zako zinakubali Pia roho yako inakubali Hii flow ina uhodari flani
Huonangi mtaani Ndo unaona nani hapo ndo daktari Dere wa trailer atagwenya Ferrari Amen, Mi najijua!
Nimeconfirm (Nimeconfirm) Mi najijua (Mi najijua) Mitaa zimetii tii Mi nachafua (Mi nachafua)
Zao ziko down (Zao ziko down) Si tuko tour (Si tuko tour) Mitaa zimetii tii Mi nachafua (Mi nachafua)
Sema sa wach wach ndo vile naskia (Wach wach wach, wach wach) Wach wach ndo vile nasikia Wach wach ndo vile nasikia
Sema sa wach wach ndo vile naskia (Wach wach wach, wach wach) Wach wach ndo vile nasikia Wach wach ndo vile nasikia
Video
Nyashinski - Wach Wach (Official Audio)