Nyashinski - Goals Lyrics
Lyrics
Penye nia panafaa kuwa na njia Hapa iko nia but manjia but zimefungwa na curfew Na by the time jua inatokea 2 Billion imeshapotea
Watu wako hopeless BIla IG tuko jobless Mtoto ni mzazi atalea Ama msanii ndo ataambiwa Ni lazima akasafishe content
2022 hatutaki tricks Na ugali wanabonya tunataka piece Gang signs za mayolo natupapa ease Lunch time after kikolo na kajapanese
Unaenda lap naenda biz Mindset nishalock success iko na keys Fame iko na pressure fam iko na needs Kwenyu kunanyesha kwetu kuna trees
Hii shit sa ni do or die Hii rap ndo inafungua milango Itafungua za Lambo Iko so close naeza ionja Na hio taste ni familiar Ka kuchonga nishakushow nina kismat mi walai
Najichocha Jah Jah najua size ile inanitosha Niko hapa nakungoja ni ka pep ndo kocha
Nimeingia hii mwaka na goals Ah siku hizi sikai ka nadoz Mi ni sniper na flows Mingi style na mapoz Nyi ni macustomer Natry kustack hio bread I need a slice of tha loaf Watu silike ni matoast Kitu silike ni kuwa broke
Jiji imejaa mapinji But si lazima ukuwe pinji ndo umake it Na nimekam kuiprove ngoja ucheki bado na improve Ni vile tu leo mnajifanya ni ka hamnijui Kesho mtani tafuta ka P2 We uko mtaani si hapa kazi tu Hii ni Ukoo flani iko na Calif juu
Ka nitakuwa nimewacha kurap Jua niko mahali nanunua Bentely Kwa show nawacha watu wakiclap After niko mahali narelax nikiziseti
Nusu kilo kwa dash hio nusu ingine ni taxin 50 percent ilikuja nikashika bag Bila vijiti ama mbegu Hio ingine nikaweka kwa benki
Kiu ya shida iko na watu wengi Kiu ya kushinda ni ka ya kudenki Queen ana figa na sura fine Thank You Shin huwaga stima wah kudadadeki
Mi huuwa keeper nakufa na beki Nina uhakika nitashika senti Nani anasema siwezi nafeel ka Gadama Messi
Nimeingia hii mwaka na goals
Nimeingia hii mwaka na goals Ah siku hizi sikai ka nadoz Mi ni sniper na flows Mingi style na mapoz Nyi ni macustomer Natry kustack hio bread I need a slice of tha loaf Watu silike ni matoast Kitu silike ni kuwa broke
I keep my eyes open Never let the other side know So we never know never know never Show emotions, never know never know never
Video
Nyashinski - Goals (Official Audio)