Willy Paul - Bure Kabisa Lyrics

Album: Bure Kabisa - Single
Released: 19 Jul 2022
iTunes Amazon Music

Lyrics

Mpenzi wa aina gani?(Pozzee) Unapenda nikilia lia Mpenzi wa aina gani?(Motif Di Don) Unapenda nikihuzunika

Ulidanganya unanipenda Oooii mama Ulidanganya unanijali Oooh mama

Baby go, we ni bure kabisa Umenidanganya umenivunja moyo kabisa Baby go, we ni bure kabisa Umenidanganya umenivunja moyo kabisa

Kwa marafiki nilikusifia Hata kwa adui nikakusifia Aah mnyoji dodo Banana follow

Iyo shepu wowo Bure kabisa My beiby wowo Bure kabisa

Tulikosana na mama yangu Sababu yako mpenzi wangu Nilidhani unanipendaga eeh Kumbe kila mtu anakupandaga ee

Mbona moyo wangu unauvunja mama  Bila huruma Ooooh ooh...Mbona unanitesa We mama wee....mama wee

Baby go, we ni bure kabisa Umenidanganya umenivunja moyo kabisa Baby go, we ni bure kabisa Umenidanganya umenivunja moyo kabisa

Baby go!

Kwa kunivunja moyo, Bure kabisa! Oooh moyo wangu, Bure kabisa! We ni bure sana, Bure kabisa! Kwenda kabisa, Bure kabisa!

Usirudi mama, Bure kabisa! Umenichoka mama, Bure kabisa! Nimekuchoka mama, Bure kabisa! Usirudi tena....

Baby go, we ni bure kabisa Umenidanganya umenivunja moyo kabisa Baby go, we ni bure kabisa Umenidanganya umenivunja moyo kabisa

Baby go!

Video

Willy Paul - Bure Kabisa (Official Audio-VIdeo)

Thumbnail for Bure Kabisa video
Loading...
In Queue
View Lyrics