Mr Seed - Am Sorry Lyrics
Lyrics
Sikujua aki ya nani sikujua Ako na roho mbaya, anataka tuachane Sikujua kusema ukweli sikujua Ako na nia mbaya anataka unitenge
Nimeomba msamaha Nimeomba kwake Mungu baba Ilikuwa ni tamaa aah, ona sasa aah Sikutaka kukukosea eeh Sikutaka kukulilisha eeh
Mtoto analia nyumbani, anataka wee mami Mtoto analia nyumbani, anataka wee Mtoto analia nyumbani, anataka urudi Mtoto analia nyumbani, ulitoroka mam
Am Sorry, am Sorry, mi nasema pole Am Sorry, am Sorry, mi nasema pole Am Sorry, am Sorry, mi nasema pole Am Sorry, am Sorry, mi nasema pole Mi nasema pole
Alitumwa na shetani huyoo, huyoo Alitumwa na shetani huyoo, huyoo Alitumwa na shetani huyoo, huyoo Alitumwa na shetani huyoo, huyoo
Mipango mbaya nazikemea Ooh nazikemea Wenye roho mbaya, nawakemea Wachaneni na mimi na mpenzi wangu
Mtoto analia nyumbani, anataka wee mami Mtoto analia nyumbani, anataka wee Mtoto analia nyumbani, anataka urudi Mtoto analia nyumbani, ulitoroka mam
Am Sorry, am Sorry, mi nasema pole Am Sorry, am Sorry, mi nasema pole Am Sorry, am Sorry, mi nasema pole Am Sorry, am Sorry, mi nasema pole
Video
MR SEED - AM SORRY ( OFFICIAL AUDIO )