Liko lango moja wazi, ni lango la mbinguni;
Na wote waingiao watapata nafasi.
Yesu ndiye lango hili, hata sasa ni wazi,
Kwa wakubwa na wadogo, tajiri na maskini.
Hili ni lango la raha,ni lango la rehema;
Kila mtu apitaye hana majonzi tena.
Tukipita lango hili tutatua mizigo,
tuliochukua kwanza, tutavikwa uzima.
Write a review/comment/correct the lyrics of Liko Lango Moja Wazi - Lango Ndiye Yesu Bwana:
lango ndio yesu bwana 9 months ago
avery good song. it has actually
transformed my life 1 year ago
No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section