Hakuna Mungu Kama Wewe

Hakuna Mungu Kama Wewe Lyrics

Hakuna Mungu kama wewe 
Hakuna popote 
Hakuna mwenye ishara kubwa 
Kama ewe Mungu  .

Si kwa majeshi 
Wala silaha 
Ni kwa roho mtakatifu  .

Si kwa majeshi 
Wala silaha 
Ni kwa roho mtakatifu  .

Nguvu za giza zimeshindwa 
Kwa jina la Bwana Yesu 
Nguvu za giza zimeshindwa 
Kwa jina la Bwana Yesu  .

Hakuna Mungu kama wewe 
Hakuna popote 
Hakuna mwenye ishara kubwa 
Kama ewe Mungu  .

Si kwa majeshi 
Wala silaha 
Ni kwa roho mtakatifu  .

Si kwa majeshi 
Wala silaha 
Ni kwa roho mtakatifu  .

Nguvu za giza zimeshindwa 
Kwa jina la Bwana Yesu 
Nguvu za giza zimeshindwa 
Kwa jina la Bwana Yesu  .


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Hakuna Mungu Kama Wewe:

0 Comments/Reviews