Sifa Lyrics

Ombi Langu by Rose Muhando cover art

Rose Muhando - Ombi Langu Lyrics

Artist:
Rose Muhando

Lyrics

Hili ni ombi langu kwako
Eeh Mungu wangu
Unitendee jambo jipya
Hii ni sala yangu kwako
We baba yangu we, unifanyie jambo jipya


Nimesubiri kuvushwa toka nilipo oh
Unitendee jambo jipya
Moyo wangu watumaini kwamba wewe unaweza
Unifanyie jambo jipya


Nimeona umetenda kwa wengi kwenye maisha yao
Nami un


Hili ni ombi langu kwako
Eeh Mungu wangu
Unitendee jambo jipya
Hii ni sala yangu kwako
We baba yangu we, unifanyie jambo jipya


Nimesubiri kuvushwa toka nilipo oh
Unitendee jambo jipya
Moyo wangu watumaini kwamba wewe unaweza
Unifanyie jambo jipya


Nimeona umetenda kwa wengi kwenye maisha yao
Nami un


Video