Sifa Lyrics

Kimbembe by Rose Muhando cover art

Rose Muhando - Kimbembe Lyrics

Artist:
Rose Muhando

Lyrics

Kama umekaa upande wa maadui basi jipange
Na kama umekula kuku na bia za wafilisti
Utazitapika, maana hii
Lazima ing'oke na mtu


Walimnyoa nywele za usoni wakasema wameshamweza
Wakamtuma gerezani wakadhani wameshammaliza
Walisahau siri ya Samson ni nywele zake
Walisahau kwamba nguvu za Samson ni nywele zake


Zimeota tena, zimeota tena
Nywele zimeota tena, zimeota tena
Kamba zimekatika, zimekatika
Minyororo kukatika, imekatika 


Kamba zimekatika, zimekatika
Minyororo kukatika, imekatika 
Kumbe zimeota tena, zimeota tena
Nywele zimeota tena, zimeota tena


Kufumba na kufumbua mambo yalibadilika dakika hio
Waliona mawenge, kimbembe walikiona kimbembe 
Wafilisti mawenge, kimbembe walikiona kimbembe 
Jamani mawenge, kimbembe walikiona kimbembe 
Delilah na madanga yake, kimbembe walikiona kimbembe 
Delilah na washikaji, kimbembe walikiona kimbembe 
Wafilisti mawenge, kimbembe walikiona kimbembe
Mambo yalipobadilika, kimbembe walikiona kimbembe
Maandishi yalipobadilia, kimbembe walikiona kimbembe
Walishindwa kuisoma namba, kimbembe walikiona kimbembe
Kichapo kikali mbaya mbovu, kimbembe walikiona kimbembe
Walishindwa kuisoma namba, kimbembe walikiona kimbembe


Mavazi yaliwaishia, kimbembe walikiona kimbembe



  • hazisearch jamani, kimbembe walikiona kimbembe
    Makonzi yamewaishia, kimbembe walikiona kimbembe
    Mawenge mawenge, kimbembe walikiona kimbembe
    Wafilisti mawenge, kimbembe walikiona kimbembe
    Maadui mawenge, kimbembe walikiona kimbembe
    Delilah na madanga yake, kimbembe walikiona kimbembe 


Kibembe, kimbembe walikiona kimbembe
Kibembe, kimbembe walikiona kimbembe
Kibembe, kimbembe walikiona kimbembe
Kibembe, kimbembe walikiona kimbembe


Walikaa na kwa waganga ili waweze kufuta jina lako
Wakatoa na kafara ili wakatishe uhai wako
Waliteta na kuzimu ili waharibu mambo yako
Walisahau kwamba mkono wa Mungu pamoja nawe
Walisahau kama neno la Mungu li pamoja nawe


Kumbe zimeota tena, zimeota tena
Nywele zimeota tena, zimeota tena
Kumbe zimeota tena, zimeota tena
Nywele zimeota tena, zimeota tena


Kamba zimekatika, zimekatika
Minyororo kukatika, imekatika 
Kamba zimekatika, zimekatika
Minyororo kukatika, imekatika 


Kufumba na kufumbua mambo yalibadilika dakika hio
Wataona mawenge, kimbembe walikiona kimbembe 
Wachawi mawenge, kimbembe walikiona kimbembe 
-- mawenge, kimbembe walikiona kimbembe 
Jeshi la kuzimu mawenge, kimbembe walikiona kimbembe
Watashindwa kuisoma namba kimbembe walikiona kimbembe 


Kimbembe walikiona kimbembe 
Kimbembe walikiona kimbembe 
Kimbembe walikiona kimbembe 
Kimbembe walikiona kimbembe 


Kimaso, maso maso na wachawi kuzimu
Kimaso, maso maso na waganga kuzimu
Kimaso, maso maso na shetani kuzimu
 


Video