Nina Haja nawe

Mp3

Nina haja nawe Kila saa; Hawezi mwingine Kunifaa.

Yesu, nakuhitaji Vivyo kila saa! Niwezeshe, Mwokozi, Nakujia.

Nina haja nawe; Kaa nami, Na maonjo haya, Hayaumi.

Yesu, nakuhitaji Vivyo kila saa! Niwezeshe, Mwokozi, Nakujia.

Nina haja nawe; Kila hali, Maisha ni bure, Uli mbali.

Yesu, nakuhitaji Vivyo kila saa! Niwezeshe, Mwokozi, Nakujia.

Nina haja nawe, Nifundishe Na ahadi zako Zifikishe.

Yesu, nakuhitaji Vivyo kila saa! Niwezeshe, Mwokozi, Nakujia.

Nina haja nawe, Mweza yote, Ni wako kabisa Siku zote.

Yesu, nakuhitaji Vivyo kila saa! Niwezeshe, Mwokozi, Nakujia.

Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Nina Haja Nawe:

7 Comments/Reviews

 • Monique Moique

  very inspiring song. my soul is always revived every i sing or hear the song..nina haja nawe vivo vyote kila hali kila wakati maana wewe ndiye nguzo wa maisha yangu. without His grace, am nothing..AMEN. such a blessing song 11 months ago

 • AMBROSE MASAI GUDERE

  tourching heart song
  1 year ago

 • Rose Mathew

  Very blessing song
  Nakuhitaji kila saa baba 1 year ago

 • Faith

  Inspiring 1 year ago

 • Janet

  A very blessing song. Bwana apewe sifa. 1 year ago

 • Cousin

  That song is so nice, i love it. It always make me feel in the presence of the Lord 1 year ago

 • MILDRED MUHONJA

  Very touching song I like it 2 years ago