Kidum - Nakupenda Lyrics

Lyrics

Umekuwa ukizusha Ati kwamba mimi nakucheza  Ati simu zangu nikipiga huchukuwi   Nashindwa ni ni mbaya nimefanya  Wenye nia mbaya  Hakika hawataki kutupa amani  Mambo yao nikubuni hali ya sitofahamu Ili mwisho unichukiye 

Saa zingine mimi uhisi nishike mtu mashali  Na nianze vita  Bahati mzuli  Mimi si aina mtu wa ugomwi 

My baby nime umbwa tu nikubembeleze  Lli moyo wako unirudiye  Ndiyo sababu nakupa aka kawimbo (nakupenda)  Chote unataka minitatenda 

Nakupenda mpenzi wangu wacha wasi wasi  Ndiyo sababu nakupa aka kawinbo (nakupenda)  Chote unataka minitatenda  Usiwe na wasi wasi mpenzi (nakupenda) Mpenzi wangu wacha wasi wasi 

Inasikitisha sana  Aya mambo yakutuchonganisha  Yaani mtu mzima mwenye akili timamu  Anaweza aje kuwa mdaku kiyasi hicho  Nimepakwa tope kwakuwekelewa thambi zote  Wengine utaka nisulubiwe msalabani wapenzi lako

Wachana nao  Wamejawa na wivu kwa roho zao Ma baby nimeumbwa tu nikufurahishe  Mambo mengine yote ni upuuzi kwagu  Hakikisho kutoka kwangu baby (nakupenda) Chote unataka minitatenda Siitaji bunge kuni tetea (nakupenda) Wala bunge la seneti  Mpenzi wangu wacha wasi wasi  Siitaji bunge kuni tetea (nakupenda) Chote unataka minitatenda Take it for me, take it for me (nakupenda) Mpenzi wangu wacha wasi wasi  Siitaji bunge kuni tetea (nakupenda) Ohh ohh 

Hakikisho kutoka kwangu (kwangu) Hili ni hakikisho 

Hasema hili ni hakikisho ooh (nakupenda) Chote unataka minitatenda  Chote unataka minitatenda Chote unataka minitatenda  Take it for me, take it for me (nakupenda) Chote unataka minitatenda Nakupenda, nakupenda Mpenzi wangu wacha wasi wasi 

Video

Kidum-Nakupenda (Official Music Video)

Thumbnail for Nakupenda video
Loading...
In Queue
View Lyrics