Sifa Lyrics

Kosi by Guardian Angel cover art

Guardian Angel - Kosi Lyrics

Artist:
Guardian Angel

Lyrics

Nakupa kosi futa machozi
Unitulize, unitulize, unitulize
Nakupa kosi futa machozi
Unitulize, unitulize, unitulize


(Teddy B)


Moyo wangu unawaka moto
Wale wenye roho ngumu ka kokoto
Wanataka mimi niangamie, nipotelee
Bwana nichunge kama mtoto


Andaa meza mbele ya adui zangu
Nile ninywe, nitulie, nikutumikie 
Mi nikuishie, mi nikukimbilie
Milele kwa hekalu lako nikuhudumie 


Andaa meza mbele ya adui zangu
Nile ninywe, nitulie, nikutumikie 
Mi nikuishie, mi nikukimbilie
Milele kwa hekalu lako nikuhudumie 


Nakupa kosi futa machozi
Unitulize, unitulize, unitulize
Nakupa kosi futa machozi
Unitulize, unitulize, unitulize


Majaribu ni mengi 
Stress iko nyingi
Matatizo ni mengi
Grace nipe nyingi


Unishike mkono Bwana
Nishike mkono Bwana


Majaribu ni mengi 
Stress iko nyingi
Matatizo ni mengi
Grace nipe nyingi


Unishike mkono Bwana
Nishike mkono Bwana


Baba naomba, nishike mkono
Bwana naomba, nishike mkono
Yesu naomba, nishike mkono
Nishike mkono


Ukiniacha nitaangamia, nishike mkono
Ukiniacha nitapotelea, nishike mkono
Ukiniacha nitaangamia, nishike mkono
Baba naomba, nishike mkono


Nakupa kosi futa machozi
Unitulize, unitulize, unitulize
Nakupa kosi futa machozi
Unitulize, unitulize, unitulize


Video