Sifa Lyrics

Samehe by Goodluck Gozbert cover art

Goodluck Gozbert - Samehe Lyrics

Artist:
Goodluck Gozbert

Lyrics

Umekaa mwenyewe tu, unawaza na kuwazua
Mwili ukonde wenzako wanatanua aah
Ona huyo eeh, ndani imepotea eeh
Bora usonge maana muda unapotea eeh


Wewe si wa kwanza aliyekutenda eeh
Vile uko na uzima shukuru muumba eeh
Mwingine si alisema ukimsaidia ana moyo
Mbona ni mapema yabadilikia machoni pako


Umejua tenda wema, tenda wema nenda
Umejua tenda wema, tenda wema nenda, yatosha


Wakiona wakuache, sawa sawa
Wakiona wakucheke, sawa sawa
Wakiona wakuache, sawa sawa
Wakiona wakucheke, sawa sawa
Vile kama buko uusitose achilia bwana


Basi samehe, samehe, samehe samehe
Basi samehe, samehe, samehe samehe


Wabaya ni wao, shetani anasingiziwa sana 
Ndani yao, amechagua kuamua mwenyewe
Wabaya wapo, wapo tena wanasikia raha
Mungu yuko, yuko shetani ---


Na mwingine si alisema
Ukimsaidia ana moyo
Mbona ni mapema
Kabadilikia machoni pako 


Umejua tenda wema, tenda wema nenda
Umejua tenda wema, tenda wema nenda, yatosha


Wakiona wakuache, sawa sawa
Wakiona wakucheke, sawa sawa
Wakiona wakuache, sawa sawa
Wakiona wakucheke, sawa sawa
Vile kama buko uusitose achilia bwana


Basi samehe, samehe, samehe samehe
Basi samehe, samehe, samehe samehe


Video