Sifa Lyrics

Mambo Bado by Goodluck Gozbert cover art

Goodluck Gozbert - Mambo Bado Lyrics

Artist:
Goodluck Gozbert

Lyrics

Cheza tukuone, sikupoa
Kule niliko aah, Mungu katenda
Tade tade siko sawa
Mungu wangu amenikumbuka


Hivi ni nani? Angeju, angejua
Mimi ningeku ningekuwa
Nani angeo angeona
Yale Mungu angete angetenda


Kumbe walijua mimi 
Nimemalizana na Mungu (Mambo bado)
Akitoka alinyamaza tu (Mambo bado)
Kumbe walijua mimi 
Nimemalizana na Mungu (Mambo bado)
Akitoka alinyamaza tu (Mambo bado)


Napigia marafiki sasa
Message kwa sana
Hangaika sana na sikujibiwa
Nikaomba sana walicheka sana
Ila leo bwana amenikumbuka


Nashukuru shukuru haukuzima moyo
Kwenye mapito nilikuona bado
Nimesamehe maadui wangu
Sasa najua kwenye kupata pia kukosa
Bado Mungu ni Mungu
Tena najua kila mshindi anapambana
Ni lazima ashinde eeh


Na wale wanajua wewe umemalizana na Mungu (Mambo bado)
Akitoka alinyamaza tu (Mambo bado)
Wale wanajua wewe umemalizana na Mungu (Mambo bado)
Hajatoka amenyamaza tu (Mambo bado)


Wale wanajua wewe umemalizana na Mungu (Mambo bado)
Hajakuacha amenyamaza tu (Mambo bado)
Wale wanajua wewe umemalizana na Mungu (Mambo bado)
Bado bado bado bado bado (Mambo bado)


Lia nalia, nalia nalia 
Lia nalia, nalia nalia ..


Ukitembelewa mabuti wataku
Upatane na Mungu, wao wakiteta
Sio mabeste mabosi
Wakati wanafeki, kwenye cash forget
Watu sio watu


Video