Ben Pol - Unaita Lyrics

Album: B - EP
Released: 27 Jul 2021
iTunes Amazon Music

Lyrics

Kama inakera kumpenda huyu ka cinderella Kamezeni mnazi au mapera Bora nife au niende jela

Kwenye hili penzi najibwaga Kama unanuna kula mawe Tunaelewana kina dada Au niongee kisa nawe

I say baby unaita Sweety unaita Say baby unaita Ah sweety unaita

Kwa tabasamu lako unaita Hata ukinuna unaita Yako maujuzi unaita Aah baby unaita

Kwa tabasamu lako unaita Hata ukinuna unaita Yako maujuzi unaita Aah baby unaita

Alafu mi naona  Ulivyonipa nimekolea Ugonjwa nishapona  Hadi utamu umeninogea

Ulivyonipa tu cha kwanza cha kwanza Huo mziki faganza faganza Sijakaa vizuri nakandwa nakandwa Naicheza bakanja bakanjaa

I say baby unaita Sweety unaita Say baby unaita Ah sweety unaita

Kwa tabasamu lako unaita Hata ukinuna unaita Yako maujuzi unaita Aah baby unaita

Kwa tabasamu lako unaita Hata ukinuna unaita Yako maujuzi unaita Aah baby unaita

Say whine segeju segejua Kata tena chekechua Kwa yako maujuzi utaniua Ah segeju segejua

Say whine segeju segejua Kata tena chekechua Kwa yako maujuzi utaniua Ah segeju segejua ayee  

Video

Ben Pol - UNAITA (Official Audio)

Thumbnail for Unaita video
Loading...
In Queue
View Lyrics