Bahati Bukuku - Unapojaribiwa Lyrics

Lyrics

Unapojaribwa, usitende dhambi, Unapojaribiwa, jua Mungu yupo, Unapojaribiwa, usivunjike moyo, Hilo jaribu lako Mungu ameliona

Jaribu ni mlango, wa kuinuliwa, Jaribu ni daraja la mafanikio, Jaribu ni darasa la watakatifu, nimejifunza hilo kwa kuwa Mungu amefanya,

Wakati wa jaribu watu wanakucheka, Wakati wa jarabu unadharauliwa, Wakati wa jaribu unajiona mpweke, Hilo jaribu lako Mungu ameliona.

Unapojaribiwa, usilipe kisasi, Unapojaribiwa usimchukie huyo, Unapojaribiwa usitazame adui yako, wewe mtazame Mungu umwombe rehema,

Wakati wa jaribu, ikiwezekana, Huyo anayetumiwa muombee rehema, Wakati wa jaribu, Mungu akikupa neema, Pema na matatizo lia pamoja naye,

Unapojaribwa, usitende dhambi, unapojaribiwa, jua Mungu yupo, unapojaribiwa, usivunjike moyo, Hilo jaribu lako Mungu ameliona

Inawezekana, uko kwenye mateso, Inawezekana, umekata tamaa, Inawezekana, umedharauliwa, Hilo jaribu lako, Mungu ameliona.

Inawezekana, ni wakati wa mateso, Inawezekana, marafiki wamekimbia, Inawezekana, ndugu amekutenga, Hilo jaribu lako Mungu atalijibu,

Inawezekana uko wakati mbaya, Inawezekana kipindi cha kuonewa, Inawezekana, marafiki wamekutenga, hilo jaribu lako, Mungu ameliona,

Muombe Mungu, jibu lako liko, Muombe Mungu, leo atatenda, Muombe Mungu leo atakujibu, Hilo tatizo lako Mungu analijua,

Usikate tamaa, mwamini Yesu usikate tamaa, mwambie Yesu. (rudia x10)

Video

Bahati Bukuku Unapojaribiwa

Thumbnail for Unapojaribiwa video

Meaning & Inspiration

I was listening to Bahati Bukuku and thinking about how she describes trials as a "mlango"—a door to being lifted up. It caught me off guard because my first instinct when things get hard is usually to run, not to see a doorway. The lyrics keep repeating that God sees what you’re going through, which hits close to home when you feel invisible in your struggles. It reminds me of the way Joseph felt in the pit or when he was in prison, though I wonder if we always believe that God is actively looking at our pain or if we just want Him to fix it.

There’s a part where she says not to take revenge or hate those causing the trouble, but to pray for them instead. That’s tough. It’s hard to swallow, honestly, but it pulls straight from how Jesus told us to love our enemies. It feels like she’s anchoring the whole experience of suffering in the idea that if we handle it without sinning, we’re actually in a "class" for the saints. That’s an interesting way to put it, like suffering isn't just something to survive but something that teaches you something you couldn't learn any other way. It sounds a lot like James talking about how testing produces steadfastness.

Still, I find myself wrestling with the promise that God will definitely answer right now. She keeps saying "Mungu atalijibu," and while I want that to be true, I think about how some people suffer for a lifetime and don't get the relief they’re praying for until the end. Does it weaken the faith to expect a specific answer, or is it just the honest cry of someone holding onto the only hope they have left? I’m not sure. I want to believe that the trial is just a bridge to success, like she sings, but I have to wonder if sometimes the trial is just the trial, and God's presence is the only success we're meant to find in it.

Loading...
In Queue
View Lyrics