Kathy Praise

Mungu Wa Ishara Lyrics

Moyo wangu ukuinue... Mungu wa Ishara
Dhabihu yangu uipokee.. Mungu wa Ishara
Umetenda mambo makuu .... Mungu wa Ishara
Hakika wewe ni Mungu...

Kama Ulivyo tenda hapo mwanzo tenda tena...
Mungu mwenye nguvu haushindwi kamwe tunakutazamia...
Ulifufua wafu, nakuponya magonjwa..vipofu wakapata kuona...
yote ukiyatenda kwa utukufu wako Yesu twakuabudu...

Mungu wa Ishara ... Mungu wa Miujiza Tunakuabudu..
Mungu wa Ishara ... Mungu wa Miujiza Tunakuabudu...
Mungu wa Ishara ... Mungu wa Miujiza Tunakuabudu....

Wewe ni Mungu muweza yote Usiyeshinwa...
Ishara zako Twaona ... Nguvu zako Twaona Yahweh...

Kama Ulivyo Ahidi Tenda.... OOOOhh Tenda tena Baba
Tasa uwape watoto Tenda ...OOOOhh Tenda tena Baba
Waliofungwa.. kukataliwa Jehova Tenda....OOOOhh Tenda tena Baba
Waliyofungwa kukataliwa Jehova Tenda...OOOOhh Tenda tena Baba
Waliyolaaniwa vunja laana tenda Muujiza tukuone...

Mungu wa Ishara ... Mungu wa Miujiza Tunakuabudu..
Mungu wa Ishara ... Mungu wa Miujiza Tunakuabudu...
Mungu wa Ishara ... Mungu wa Miujiza Tunakuabudu....
Mungu wa Ishara ... Mungu wa Miujiza Tunakuabudu...

Wewe ni Mungu Usiyeshindwa Tunakuabudu 
 Wewe ni Mungu Usiyelala Tunakuabudu 
Wewe ni Mungu Usiyebadilika Tunakuabudu 
Wewe ni Mungu Muweza yote Tunakuabudu 

Mungu Wa Ishara Video