Hivi je, waijua sababu, yakuinuliwa kwanguKubarikiwa kwanguHebu keti tutete pamoja nikwambieKuna siri hapa we hujui yu ya baraka zanguKuna mungu namjua ni mmoja tu si sawa na wengineHapangiwi na mwingine haweza kumpa mwingineHivyo, tulia tuli tulia shikilia hapo tuliaUkiw na mungu tulia atakuletea mengiNimemuona huyu bwana akitenda kwa wengineNa mimi amenikumbuka, ndio maana nasimuliaUmeona nini ulipo?Nimemuona bwana, akitenda katika maisha yanguUmeona nini ulipo?Nimemuona bwana, hatika matendo yake siwezi pimaUmeona nini ulipo?Nimemuona bwana, akitenda katika maisha yanguEe tunajivunia, matendo yake bwanaNimemuona bwana, hatika matendo yake siwezi pimaNa tukikutana kuabudu, wasogea karibuIli bwana ugange mioyo yetuBwana hakuna usilowezan pekee unawezaHivi bwana nitarudisha niniUmetukuka juu mbinguni duniani kila mahaliWe mungu ni mungu wa uwezaTena bwana hupangiwi na mtu jua lina kutiiMilima bahari vya kutiiSiwezi sema mimiMambo mamgapiUmenitendeaNakushukuru, ndio maana naimbaNikusifu weweNimemuona bwana, akitenda katika maisha yanguNimemuona bwana, hatika matendo yake siwezi pimaNimemuona bwana, hatika matendo yake siwezi pimaNimemuona bwana, hatika matendo yake siwezi pima